Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 89 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿سَيَقُولُونَ لِلَّهِۚ قُلۡ فَأَنَّىٰ تُسۡحَرُونَ ﴾
[المؤمنُون: 89]
﴿سيقولون لله قل فأنى تسحرون﴾ [المؤمنُون: 89]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watajibu kuwa hayo yote ni ya Mwenyezi Mungu. Sema uwaambie, «Vipi zinaondoka akili zenu na mnadanganywa na mnaepushwa njia ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtii na kuyaamini mambo ya kufufuliwa na kurudishiwa uhai?» |