Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 96 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿ٱدۡفَعۡ بِٱلَّتِي هِيَ أَحۡسَنُ ٱلسَّيِّئَةَۚ نَحۡنُ أَعۡلَمُ بِمَا يَصِفُونَ ﴾
[المؤمنُون: 96]
﴿ادفع بالتي هي أحسن السيئة نحن أعلم بما يصفون﴾ [المؤمنُون: 96]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi wanapokufanyia ubaya maadui zako, ewe Mtume, kwa maneno au vitendo, basi usiwalipe ubaya, lakini uondoshe ubaya wao kwa kuwafanyia wema. Sisi tunayajua mno yale wanayokubandika washirikina ya sifa za ushirikina na kukukanusha, na Atawalipa kwa hayo malipo maovu mno |