Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 97 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿وَقُل رَّبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنۡ هَمَزَٰتِ ٱلشَّيَٰطِينِ ﴾
[المؤمنُون: 97]
﴿وقل رب أعوذ بك من همزات الشياطين﴾ [المؤمنُون: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na useme, ewe Nabii, «Mola wangu! Najilinda kwako na upotezaji wa Mashetani unaoupelekea kwenye ubatilifu na uharibifu na kuzuia watu wasiifuate haki |