×

Siku hiyo Mwenyezi Mungu atawapa sawa sawa malipo yao ya haki, na 24:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nur ⮕ (24:25) ayat 25 in Swahili

24:25 Surah An-Nur ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 25 - النور - Page - Juz 18

﴿يَوۡمَئِذٖ يُوَفِّيهِمُ ٱللَّهُ دِينَهُمُ ٱلۡحَقَّ وَيَعۡلَمُونَ أَنَّ ٱللَّهَ هُوَ ٱلۡحَقُّ ٱلۡمُبِينُ ﴾
[النور: 25]

Siku hiyo Mwenyezi Mungu atawapa sawa sawa malipo yao ya haki, na watajua kwamba hakika Mwenyezi Mungu ndiye Haki Iliyo Wazi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يومئذ يوفيهم الله دينهم الحق ويعلمون أن الله هو الحق المبين, باللغة السواحيلية

﴿يومئذ يوفيهم الله دينهم الحق ويعلمون أن الله هو الحق المبين﴾ [النور: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Katika siku hiyo, Mwenyezi Mungu Atawalipa malipo yao kamili juu ya matendo yao kwa usawa, na watajua kwenye mkusanyiko huo mkubwa wa kisimamo kwamba Mwenyezi Mungu Ndiye Ukweli ulio wazi, Ambaye Yeye ni kweli, ahadi yake ni ya kweli, makemeo yake ni kweli na kila kitu kitokanao na yeye ni kweli, Ambaye hamdhulumu yoyote chochote hata kama ni kadiri ya uzani wa chungu mdogo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek