Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 38 - النور - Page - Juz 18
﴿لِيَجۡزِيَهُمُ ٱللَّهُ أَحۡسَنَ مَا عَمِلُواْ وَيَزِيدَهُم مِّن فَضۡلِهِۦۗ وَٱللَّهُ يَرۡزُقُ مَن يَشَآءُ بِغَيۡرِ حِسَابٖ ﴾
[النور: 38]
﴿ليجزيهم الله أحسن ما عملوا ويزيدهم من فضله والله يرزق من يشاء﴾ [النور: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ili Mwenyezi Mungu Awape malipo mema ya matendo yao mazuri zaidi na Awaongezee kutokana na wema Wake. Na Mwenyezi Mungu Anamruzuku Anayemtaka bila kumhesabia, bali Anampa malipo ambayo matendo yake mema hayakuyafikia, na pasi na hesabu wala kipimo |