Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 12 - الفُرقَان - Page - Juz 18
﴿إِذَا رَأَتۡهُم مِّن مَّكَانِۭ بَعِيدٖ سَمِعُواْ لَهَا تَغَيُّظٗا وَزَفِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 12]
﴿إذا رأتهم من مكان بعيد سمعوا لها تغيظا وزفيرا﴾ [الفُرقَان: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Moto huo ukiwaona hawa wakanushaji Siku ya Kiyama, kutoka mahali mbali, watasikia sauti ya kuchemka kwake na mkoromo wake kwa ukali wa hasira zake kwao |