Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 40 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿وَلَقَدۡ أَتَوۡاْ عَلَى ٱلۡقَرۡيَةِ ٱلَّتِيٓ أُمۡطِرَتۡ مَطَرَ ٱلسَّوۡءِۚ أَفَلَمۡ يَكُونُواْ يَرَوۡنَهَاۚ بَلۡ كَانُواْ لَا يَرۡجُونَ نُشُورٗا ﴾
[الفُرقَان: 40]
﴿ولقد أتوا على القرية التي أمطرت مطر السوء أفلم يكونوا يرونها بل﴾ [الفُرقَان: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na washirikina wa Makkah walikuwa wakikipitia kijiji cha watu wa Lūṭ katika safari zao, nacho ni kijiji cha Sadūm ambacho kiliangamizwa kwa mawe kutoka mbinguni, wasizingatie kwa hilo, bali walikuwa hawatazamii kuwa kuna marejeo Siku ya Kiyama ambapo wao watalipwa |