×

Na wanapo kuona hawakuchukulii ila ni mzaha tu, na (wanasema): Ati ndiye 25:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:41) ayat 41 in Swahili

25:41 Surah Al-Furqan ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 41 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَإِذَا رَأَوۡكَ إِن يَتَّخِذُونَكَ إِلَّا هُزُوًا أَهَٰذَا ٱلَّذِي بَعَثَ ٱللَّهُ رَسُولًا ﴾
[الفُرقَان: 41]

Na wanapo kuona hawakuchukulii ila ni mzaha tu, na (wanasema): Ati ndiye huyu Mwenyezi Mungu aliye mtuma kuwa Mtume

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذا رأوك إن يتخذونك إلا هزوا أهذا الذي بعث الله رسولا, باللغة السواحيلية

﴿وإذا رأوك إن يتخذونك إلا هزوا أهذا الذي بعث الله رسولا﴾ [الفُرقَان: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wakuonapo hao wakanushaji, ewe Mtume, wanakufanyia shere wakisema, «Je, ni huyu yule anayedai kwamba Mwenyezi Mungu Amemtumiliza kuwa ni mjumbe kwetu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek