×

Ametukuka aliye zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia humo taa na mwezi unao 25:61 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:61) ayat 61 in Swahili

25:61 Surah Al-Furqan ayat 61 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 61 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿تَبَارَكَ ٱلَّذِي جَعَلَ فِي ٱلسَّمَآءِ بُرُوجٗا وَجَعَلَ فِيهَا سِرَٰجٗا وَقَمَرٗا مُّنِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 61]

Ametukuka aliye zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia humo taa na mwezi unao ng'ara

❮ Previous Next ❯

ترجمة: تبارك الذي جعل في السماء بروجا وجعل فيها سراجا وقمرا منيرا, باللغة السواحيلية

﴿تبارك الذي جعل في السماء بروجا وجعل فيها سراجا وقمرا منيرا﴾ [الفُرقَان: 61]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni kubwa baraka za Mwingi wa rehema na ni nyingi kheri Zake Aliyeziweka mbinguni nyota kubwa pamoja njia zake, na akaliweka, katika hizo mbingu, jua linalotoa mwangaza na mwezi unaong’ara
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek