×

Na wakasema: Ana nini Mtume huyu? Anakula chakula, na anatembea masokoni! Mbona 25:7 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:7) ayat 7 in Swahili

25:7 Surah Al-Furqan ayat 7 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 7 - الفُرقَان - Page - Juz 18

﴿وَقَالُواْ مَالِ هَٰذَا ٱلرَّسُولِ يَأۡكُلُ ٱلطَّعَامَ وَيَمۡشِي فِي ٱلۡأَسۡوَاقِ لَوۡلَآ أُنزِلَ إِلَيۡهِ مَلَكٞ فَيَكُونَ مَعَهُۥ نَذِيرًا ﴾
[الفُرقَان: 7]

Na wakasema: Ana nini Mtume huyu? Anakula chakula, na anatembea masokoni! Mbona hakuteremshiwa Malaika akawa mwonyaji pamoja naye

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقالوا مال هذا الرسول يأكل الطعام ويمشي في الأسواق لولا أنـزل إليه, باللغة السواحيلية

﴿وقالوا مال هذا الرسول يأكل الطعام ويمشي في الأسواق لولا أنـزل إليه﴾ [الفُرقَان: 7]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na walisema washirikina, «Ana nini huyu anayedai kwamba yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu (wakimkusudia Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie), anakula chakula kama sisi na aenda sokoni kutafuta riziki? Basi si angalimtuma Malaika awe naye ashuhudilie ukweli wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek