Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 8 - الفُرقَان - Page - Juz 18
﴿أَوۡ يُلۡقَىٰٓ إِلَيۡهِ كَنزٌ أَوۡ تَكُونُ لَهُۥ جَنَّةٞ يَأۡكُلُ مِنۡهَاۚ وَقَالَ ٱلظَّٰلِمُونَ إِن تَتَّبِعُونَ إِلَّا رَجُلٗا مَّسۡحُورًا ﴾
[الفُرقَان: 8]
﴿أو يلقى إليه كنـز أو تكون له جنة يأكل منها وقال الظالمون﴾ [الفُرقَان: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr au imshukie kutoka mbinguni kanzi ya mali, au awe na shamba kubwa ambalo yeye anakula matunda yake.» Na wakaendelea kusema, hawa madhalimu wenye kukanusha, «Mumfuatao nyinyi si mwingine isipokuwa ni mtu aliyefanyiwa uchawi ulioathiri akili yake.» |