Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 155 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ هَٰذِهِۦ نَاقَةٞ لَّهَا شِرۡبٞ وَلَكُمۡ شِرۡبُ يَوۡمٖ مَّعۡلُومٖ ﴾
[الشعراء: 155]
﴿قال هذه ناقة لها شرب ولكم شرب يوم معلوم﴾ [الشعراء: 155]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ṣāliḥ akasema kuwaambia- na hapo alikuwa amewaletea ngamia ambaye Mwenyezi Mungu alimtolea kwenye jiwe-, «Huyu ni ngamia wa Mwenyezi Mungu. Yeye ana hisa ya maji siku maalumu, na nyinyi mna hisa ya maji kwa siku nyingine. Haifai kwenu nyinyi kunywa siku ile ambayo ni hisa yake, na yeye hatakunywa siku ambayo ni hisa yenu |