×

Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli 26:166 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:166) ayat 166 in Swahili

26:166 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 166 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 166 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿وَتَذَرُونَ مَا خَلَقَ لَكُمۡ رَبُّكُم مِّنۡ أَزۡوَٰجِكُمۚ بَلۡ أَنتُمۡ قَوۡمٌ عَادُونَ ﴾
[الشعراء: 166]

Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وتذرون ما خلق لكم ربكم من أزواجكم بل أنتم قوم عادون, باللغة السواحيلية

﴿وتذرون ما خلق لكم ربكم من أزواجكم بل أنتم قوم عادون﴾ [الشعراء: 166]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
na mnawaacha wake zenu ambao Mwenyezi Mungu Amewaumbia nyinyi ili mstarehe na mzaane? Lakini nyinyi ni watu, kwa uasi huu, wenye kuyakiuka yale ambayo Mwenyezi Mungu Amewaruhusu ya halali na kuyaendea ya haramu.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek