Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 181 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿۞ أَوۡفُواْ ٱلۡكَيۡلَ وَلَا تَكُونُواْ مِنَ ٱلۡمُخۡسِرِينَ ﴾
[الشعراء: 181]
﴿أوفوا الكيل ولا تكونوا من المخسرين﴾ [الشعراء: 181]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Shu’ayb akaendelea kuwaambia- na walikuwa wakipunguza vipimo na mizani-, «Watimizieni watu vipimo kwa kuwakamilishia, na msiwe ni kati ya wale wanaowapunja watu haki zao |