Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 199 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَقَرَأَهُۥ عَلَيۡهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ مُؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 199]
﴿فقرأه عليهم ما كانوا به مؤمنين﴾ [الشعراء: 199]
Abdullah Muhammad Abu Bakr wakawasomea makafiri wa Kikureshi kisomo cha Kiarabu kilicho sawa, wangaliikanusha pia na wangalizua sababu ya ukanushaji wao |