Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 26 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ رَبُّكُمۡ وَرَبُّ ءَابَآئِكُمُ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[الشعراء: 26]
﴿قال ربكم ورب آبائكم الأولين﴾ [الشعراء: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema, «Mola Ambaye mimi nawalingania nyinyi Kwake ni Yule Aliyewaumba nyinyi na Aliyewaumba wa mwanzo. Basi vipi nyinyi mnamuabudu ambaye ni kiumbe kama nyinyi na yeye ana mababa waliotoeka kama mababa zenu?» |