Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 27 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ إِنَّ رَسُولَكُمُ ٱلَّذِيٓ أُرۡسِلَ إِلَيۡكُمۡ لَمَجۡنُونٞ ﴾
[الشعراء: 27]
﴿قال إن رسولكم الذي أرسل إليكم لمجنون﴾ [الشعراء: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akasema kuwaambia wale watu wake makhsusi akiwapandisha ghadhabu zao, kwa kuwa Mūsā amemkanusha yeye, «Kwa kweli, huyu mjumbe wenu aliyeletwa kwenu ni mwendawazimu , asema maneno yasiyofahamika.» |