Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 28 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ رَبُّ ٱلۡمَشۡرِقِ وَٱلۡمَغۡرِبِ وَمَا بَيۡنَهُمَآۖ إِن كُنتُمۡ تَعۡقِلُونَ ﴾
[الشعراء: 28]
﴿قال رب المشرق والمغرب وما بينهما إن كنتم تعقلون﴾ [الشعراء: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema, «Mola wa Mashariki na Magharibi na vilivyoko baina ya viwili hivyo, na vilivyomo ndani yake vya mwangaza na giza. Hili linapelekea kuwa ni lazima kumuamini Yeye Peke Yake, iwapo nyinyi ni miongoni mwa watu wa akili na kuzingatia.» |