×

(Firauni) akasema: Ukimfuata mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka 26:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:29) ayat 29 in Swahili

26:29 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 29 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿قَالَ لَئِنِ ٱتَّخَذۡتَ إِلَٰهًا غَيۡرِي لَأَجۡعَلَنَّكَ مِنَ ٱلۡمَسۡجُونِينَ ﴾
[الشعراء: 29]

(Firauni) akasema: Ukimfuata mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga gerezani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال لئن اتخذت إلها غيري لأجعلنك من المسجونين, باللغة السواحيلية

﴿قال لئن اتخذت إلها غيري لأجعلنك من المسجونين﴾ [الشعراء: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Fir’awn akamwambia Mūsā kwa kumtisha, «Ukichukua mwingine aseyekuwa mimi ukamfanya ni mola nitakufunga jela pamoja na wale niliowafunga.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek