Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 34 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ لِلۡمَلَإِ حَوۡلَهُۥٓ إِنَّ هَٰذَا لَسَٰحِرٌ عَلِيمٞ ﴾
[الشعراء: 34]
﴿قال للملإ حوله إن هذا لساحر عليم﴾ [الشعراء: 34]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akasema kuwaambia watukufu wa watu wake, kwa kuogopa wasije wakaamini, «Kwa kweli Mūsā ni mchawi hodari |