Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 33 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَنَزَعَ يَدَهُۥ فَإِذَا هِيَ بَيۡضَآءُ لِلنَّٰظِرِينَ ﴾
[الشعراء: 33]
﴿ونـزع يده فإذا هي بيضاء للناظرين﴾ [الشعراء: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akautoa mkono wake kwenye uwazi wa kanzu yake uliofunguliwa kifuani au chini ya kwapa lake, na papo hapo ukawa mweupe kama barafu, na sio weupe wa mbalanga, ukawashangaza waangaliaji |