Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 4 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِن نَّشَأۡ نُنَزِّلۡ عَلَيۡهِم مِّنَ ٱلسَّمَآءِ ءَايَةٗ فَظَلَّتۡ أَعۡنَٰقُهُمۡ لَهَا خَٰضِعِينَ ﴾
[الشعراء: 4]
﴿إن نشأ ننـزل عليهم من السماء آية فظلت أعناقهم لها خاضعين﴾ [الشعراء: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Tukitaka tutawateremshia wakanushaji, miongoni mwa watu wako, miujiza itokayo mbinguni yenye kuwaogopesha itakayowalazimisha wao kuamini, na hapo shingo zao ziwe zimenyongeka na kudhalilika. Lakini hatukutaka hilo, kwani Imani yenye kunufaisha ni kuyaamini yaliyoghibu kwa hiyari |