×

Wala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa Arrahman ila wao hujitenga nao 26:5 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:5) ayat 5 in Swahili

26:5 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 5 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 5 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿وَمَا يَأۡتِيهِم مِّن ذِكۡرٖ مِّنَ ٱلرَّحۡمَٰنِ مُحۡدَثٍ إِلَّا كَانُواْ عَنۡهُ مُعۡرِضِينَ ﴾
[الشعراء: 5]

Wala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa Arrahman ila wao hujitenga nao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما يأتيهم من ذكر من الرحمن محدث إلا كانوا عنه معرضين, باللغة السواحيلية

﴿وما يأتيهم من ذكر من الرحمن محدث إلا كانوا عنه معرضين﴾ [الشعراء: 5]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hauwajii washirikina hawa ukumbusho, kutoka kwa Mwingi wa rehema unaoanzwa kuteremshwa, kitu baada ya kitu, wenye kuwaamrisha na kuwakataza na kuwakumbusha Dini ya kweli, isipokuwa wanaupa mgongo na hawaukubali
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek