×

Hakika sisi tunatumai Mola wetu Mlezi atatusamehe makosa yetu, kwa kuwa ndio 26:51 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:51) ayat 51 in Swahili

26:51 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 51 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 51 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿إِنَّا نَطۡمَعُ أَن يَغۡفِرَ لَنَا رَبُّنَا خَطَٰيَٰنَآ أَن كُنَّآ أَوَّلَ ٱلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[الشعراء: 51]

Hakika sisi tunatumai Mola wetu Mlezi atatusamehe makosa yetu, kwa kuwa ndio wa kwanza wa kuamini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنا نطمع أن يغفر لنا ربنا خطايانا أن كنا أول المؤمنين, باللغة السواحيلية

﴿إنا نطمع أن يغفر لنا ربنا خطايانا أن كنا أول المؤمنين﴾ [الشعراء: 51]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sisi tunataraji Mola wetu Atusamehe makosa yetu ya ushirikina na mengineyo kwa kuwa sisi ndio Waumini wa mwanzo katika watu wako.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek