Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 11 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿إِلَّا مَن ظَلَمَ ثُمَّ بَدَّلَ حُسۡنَۢا بَعۡدَ سُوٓءٖ فَإِنِّي غَفُورٞ رَّحِيمٞ ﴾
[النَّمل: 11]
﴿إلا من ظلم ثم بدل حسنا بعد سوء فإني غفور رحيم﴾ [النَّمل: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Isipokuwa yule aliyepitisha mpaka kwa kufanya dhambi kisha akatubia, akabadilisha toba njema baada ya dhambi baya, kwani mimi ni mwenye kumsamehe ni mwenye kumrehemu.» Basi asikate tamaa mtu yoyote na rehema ya Mwenyezi Mungu na msamaha Wake |