Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 17 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿وَحُشِرَ لِسُلَيۡمَٰنَ جُنُودُهُۥ مِنَ ٱلۡجِنِّ وَٱلۡإِنسِ وَٱلطَّيۡرِ فَهُمۡ يُوزَعُونَ ﴾
[النَّمل: 17]
﴿وحشر لسليمان جنوده من الجن والإنس والطير فهم يوزعون﴾ [النَّمل: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na akakusanyiwa Sulaymān askari wake miongoni mwa majini, binadamu na ndege katika matembezi yao. Na wao, pamoja na wingi wao, hawakua wamepuuzwa, bali palikuwa, juu ya kila jinsi, mwenye kuwasimamia wa mwanzo wao kwa wa mwisho wao ili wasimame wote wakiwa wamejipanga |