Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 31 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿أَلَّا تَعۡلُواْ عَلَيَّ وَأۡتُونِي مُسۡلِمِينَ ﴾
[النَّمل: 31]
﴿ألا تعلوا علي وأتوني مسلمين﴾ [النَّمل: 31]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Msifanye kiburi wala msijifanye wakubwa mkakataa kuyakubali haya ninayowalingania. Na njooni kwangu mkiwa ni wenye kukubali upweke wa Mwenyezi Mungu na kujisalimisha Kwake kwa utiifu.» |