Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 30 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿إِنَّهُۥ مِن سُلَيۡمَٰنَ وَإِنَّهُۥ بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ﴾
[النَّمل: 30]
﴿إنه من سليمان وإنه بسم الله الرحمن الرحيم﴾ [النَّمل: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha akayaeleza yaliyomo ndani akasema, «Hiyo inatoka kwa Sulaymān, nayo imeanza na ‘Bi ism Allāh al-Rahmān al-Rahīm» (Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwenye kuwarehemu wema na waovu ulimwenguni, Mwenye kuwarehemu wema watupu kesho Akhera) |