Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 21 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿فَخَرَجَ مِنۡهَا خَآئِفٗا يَتَرَقَّبُۖ قَالَ رَبِّ نَجِّنِي مِنَ ٱلۡقَوۡمِ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[القَصَص: 21]
﴿فخرج منها خائفا يترقب قال رب نجني من القوم الظالمين﴾ [القَصَص: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Mūsā akautoka mji wa Fir'awn akiwa katika hali ya kuogopa, akitazamia kukamatwa na wale wanaomtafuta, na akamuomba Mwenyezi Mungu Amuokoe na watu madhalimu |