Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 51 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿۞ وَلَقَدۡ وَصَّلۡنَا لَهُمُ ٱلۡقَوۡلَ لَعَلَّهُمۡ يَتَذَكَّرُونَ ﴾
[القَصَص: 51]
﴿ولقد وصلنا لهم القول لعلهم يتذكرون﴾ [القَصَص: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika, tuliifafanua na kuieleza Qur’ani kwa kuwaonea huruma watu wako, ewe Mtume, huenda wao wakakumbuka na wakawaidhika nayo |