Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 53 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿وَإِذَا يُتۡلَىٰ عَلَيۡهِمۡ قَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِهِۦٓ إِنَّهُ ٱلۡحَقُّ مِن رَّبِّنَآ إِنَّا كُنَّا مِن قَبۡلِهِۦ مُسۡلِمِينَ ﴾
[القَصَص: 53]
﴿وإذا يتلى عليهم قالوا آمنا به إنه الحق من ربنا إنا كنا﴾ [القَصَص: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na pindi isomwapo hii Qur’ani kwa wale tuliowapa Kitabu wanasema, «Tumeiamini na tumeifuata kivitendo, hiyo ni haki itokayo kwa Mola wetu, hakika sisi tulikuwa, kabla haijateremka, ni Waislamu wenye kumpwekesha, kwani Dini ya Mwenyezi Mungu ni moja, nayo ni Uislamu.» |