Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 68 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿وَرَبُّكَ يَخۡلُقُ مَا يَشَآءُ وَيَخۡتَارُۗ مَا كَانَ لَهُمُ ٱلۡخِيَرَةُۚ سُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يُشۡرِكُونَ ﴾
[القَصَص: 68]
﴿وربك يخلق ما يشاء ويختار ما كان لهم الخيرة سبحان الله وتعالى﴾ [القَصَص: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mola wako anaumba anachokitaka kukiumba, na anamteua awe karibu na Yeye Anayemtaka katika viumbe wake. Na hakuna yoyote mwenye chochote cha amri na uteuzi. Kwa hakika, hilo ni la Mwenyezi Mungu Peke Yake, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Ametukuka na kuepukana na ushirikina wao |