Quran with Swahili translation - Surah Al-Qasas ayat 67 - القَصَص - Page - Juz 20
﴿فَأَمَّا مَن تَابَ وَءَامَنَ وَعَمِلَ صَٰلِحٗا فَعَسَىٰٓ أَن يَكُونَ مِنَ ٱلۡمُفۡلِحِينَ ﴾
[القَصَص: 67]
﴿فأما من تاب وآمن وعمل صالحا فعسى أن يكون من المفلحين﴾ [القَصَص: 67]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ama yule aliyetubia kati ya washirikina na akamtakasia Mwenyezi Mungu ibada na akafanya matendo yanayoambatana na amri Yake na Mtume Wake, yeye ni katika wale wanaofuzu katika Nyumba Mbili |