Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 15 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿فَأَنجَيۡنَٰهُ وَأَصۡحَٰبَ ٱلسَّفِينَةِ وَجَعَلۡنَٰهَآ ءَايَةٗ لِّلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 15]
﴿فأنجيناه وأصحاب السفينة وجعلناها آية للعالمين﴾ [العَنكبُوت: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hivyo basi tukamuokoa Nūḥ na waliomfuata miongoni mwa wale waliokuwa naye jahazini. Na tukalifanya hilo kuwa ni mazingatio na mawaidha kwa viumbe wote |