Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 37 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿فَكَذَّبُوهُ فَأَخَذَتۡهُمُ ٱلرَّجۡفَةُ فَأَصۡبَحُواْ فِي دَارِهِمۡ جَٰثِمِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 37]
﴿فكذبوه فأخذتهم الرجفة فأصبحوا في دارهم جاثمين﴾ [العَنكبُوت: 37]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakamkanusha Shu'ayb watu wa Madyan kwa yale aliyokuja nayo ya utume kutoka kwa Mweyezi Mungu, basi wakapatikana na msukosuko mkali, wakawa wamelala chini kwenye nyumba zao hali ya kuwa wameangamia |