Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 49 - العَنكبُوت - Page - Juz 21
﴿بَلۡ هُوَ ءَايَٰتُۢ بَيِّنَٰتٞ فِي صُدُورِ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلۡعِلۡمَۚ وَمَا يَجۡحَدُ بِـَٔايَٰتِنَآ إِلَّا ٱلظَّٰلِمُونَ ﴾
[العَنكبُوت: 49]
﴿بل هو آيات بينات في صدور الذين أوتوا العلم وما يجحد بآياتنا﴾ [العَنكبُوت: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini Qur’ani ni aya zilizofunuka zilizo wazi katika kuutolea ushahidi ukweli, wanavyuoni wanaihifadhi. Na hawazikanushi aya zetu na kuzikataa isipokuwa washindani wanaoijua haki na kuiepuka |