Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 172 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿ٱلَّذِينَ ٱسۡتَجَابُواْ لِلَّهِ وَٱلرَّسُولِ مِنۢ بَعۡدِ مَآ أَصَابَهُمُ ٱلۡقَرۡحُۚ لِلَّذِينَ أَحۡسَنُواْ مِنۡهُمۡ وَٱتَّقَوۡاْ أَجۡرٌ عَظِيمٌ ﴾
[آل عِمران: 172]
﴿الذين استجابوا لله والرسول من بعد ما أصابهم القرح للذين أحسنوا منهم﴾ [آل عِمران: 172]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wale waliouitikia mwito wa Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakatoka kuwafuata washirikina mpaka kijiji cha Ḥamrā’ al-Asad baada ya kushindwa katika vita vya Uḥud, pamoja na maumivu na majaraha waliyokuwa nayo, wakafanya upeo wa juhudi zao na wakashikamana na mwongozo wa Mtume wao, basi watenda wema hao na wacha-Mungu hao watapata thawabu kubwa |