×

Walio ambiwa na watu: Kuna watu wamekukusanyikieni, waogopeni! Hayo yakawazidishia Imani, wakasema: 3:173 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:173) ayat 173 in Swahili

3:173 Surah al-‘Imran ayat 173 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 173 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿ٱلَّذِينَ قَالَ لَهُمُ ٱلنَّاسُ إِنَّ ٱلنَّاسَ قَدۡ جَمَعُواْ لَكُمۡ فَٱخۡشَوۡهُمۡ فَزَادَهُمۡ إِيمَٰنٗا وَقَالُواْ حَسۡبُنَا ٱللَّهُ وَنِعۡمَ ٱلۡوَكِيلُ ﴾
[آل عِمران: 173]

Walio ambiwa na watu: Kuna watu wamekukusanyikieni, waogopeni! Hayo yakawazidishia Imani, wakasema: Mwenyezi Mungu anatutosha, naye ni mbora wa kutegemewa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الذين قال لهم الناس إن الناس قد جمعوا لكم فاخشوهم فزادهم إيمانا, باللغة السواحيلية

﴿الذين قال لهم الناس إن الناس قد جمعوا لكم فاخشوهم فزادهم إيمانا﴾ [آل عِمران: 173]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wao ni wale walioambiwa na baadhi ya washirikina , «Abu Sufyani na wenzake wameamua kuwarudia nyinyi ili kuwamaliza, basi jihadharini nao na mjikinge na kukutana nao, kwani hamna nguvu za kupambana nao.» Tahadhari hiyo iliwazidishia yakini na kuikubali kikweli ahadi ya Mwenyezi Mungu kwao na haikuwazuia na uamuzi wao. Hapo walikwenda wakielekea pale Mwenyezi Mungu Alipotaka na wakasema, «Ḥasbunā Allāh wa Ni’ma al Wakīl» Yaani, Mtosheleza wetu ni Mwenyezi Mungu na Yeye Ndiye Wakili mwema Mwenye kutegemezewa mipango ya waja Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek