Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 38 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿هُنَالِكَ دَعَا زَكَرِيَّا رَبَّهُۥۖ قَالَ رَبِّ هَبۡ لِي مِن لَّدُنكَ ذُرِّيَّةٗ طَيِّبَةًۖ إِنَّكَ سَمِيعُ ٱلدُّعَآءِ ﴾
[آل عِمران: 38]
﴿هنالك دعا زكريا ربه قال رب هب لي من لدنك ذرية طيبة﴾ [آل عِمران: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Alipoona Zakariyyā vile Mwenyezi Mungu Alivyomkirimu Maryam kwa riziki Yake na fadhila Zake, alielekea kwa Mola wake akisema, «Ewe Mola wangu, nipe kutoka Kwako mtoto mwema mwenye kubarikiwa. Wewe ni Msikizi wa maombi ya anayekuomba.» |