Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 9 - آل عِمران - Page - Juz 3
﴿رَبَّنَآ إِنَّكَ جَامِعُ ٱلنَّاسِ لِيَوۡمٖ لَّا رَيۡبَ فِيهِۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُخۡلِفُ ٱلۡمِيعَادَ ﴾
[آل عِمران: 9]
﴿ربنا إنك جامع الناس ليوم لا ريب فيه إن الله لا يخلف﴾ [آل عِمران: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ewe Mola Wetu, sisi tunakubali na kushuhudia kwamba Wewe utawakusanya watu Siku isiyo na shaka , nayo ni Siku ya Kiyama. Hakika Wewe huendi kinyume na ahadi uliyowapa waja Wako.» |