×

Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko 3:96 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah al-‘Imran ⮕ (3:96) ayat 96 in Swahili

3:96 Surah al-‘Imran ayat 96 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 96 - آل عِمران - Page - Juz 4

﴿إِنَّ أَوَّلَ بَيۡتٖ وُضِعَ لِلنَّاسِ لَلَّذِي بِبَكَّةَ مُبَارَكٗا وَهُدٗى لِّلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[آل عِمران: 96]

Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن أول بيت وضع للناس للذي ببكة مباركا وهدى للعالمين, باللغة السواحيلية

﴿إن أول بيت وضع للناس للذي ببكة مباركا وهدى للعالمين﴾ [آل عِمران: 96]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika nyumba ya mwanzo iliyojengwa kwa ajili ya kumuabudu Mwenyezi Mungu ni hiyo nyumba ya Mwenyezi Mungu takatifu iliyoko Maka. Na nyumba hiyo imebarikiwa, mema huko huongezwa na rehema huko hushuka. Na katika kuielekea nyumba hiyo kwenye Swala na kuiendea kipindi cha kutekeleza Hija na Umra, pana wema na uongofu kwa watu wote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek