×

Ewe mwanangu! Kikiwapo kitu cha uzito wa chembe ya khardali kikawa ndani 31:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Luqman ⮕ (31:16) ayat 16 in Swahili

31:16 Surah Luqman ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 16 - لُقمَان - Page - Juz 21

﴿يَٰبُنَيَّ إِنَّهَآ إِن تَكُ مِثۡقَالَ حَبَّةٖ مِّنۡ خَرۡدَلٖ فَتَكُن فِي صَخۡرَةٍ أَوۡ فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ أَوۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ يَأۡتِ بِهَا ٱللَّهُۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَطِيفٌ خَبِيرٞ ﴾
[لُقمَان: 16]

Ewe mwanangu! Kikiwapo kitu cha uzito wa chembe ya khardali kikawa ndani ya jabali au ndani ya mbingu au ndani ya ardhi, basi Mwenyezi Mungu atakileta. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa yaliyo fichika, Mwenye khabari za yote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يابني إنها إن تك مثقال حبة من خردل فتكن في صخرة أو, باللغة السواحيلية

﴿يابني إنها إن تك مثقال حبة من خردل فتكن في صخرة أو﴾ [لُقمَان: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Ewe mwanangu! Jua kwamba uovu au wema uwapo ni kadiri ya chembe ya hardali, nayo ni ile iliyo upeo wa udogo, iliyo ndani ya jabali au iliyo mahali popote, mbinguni au ardhini, Mwenyezi Mungu Ataileta Siku ya Kiyama na Ataihesabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja Wake, ni Mtambuzi wa matendo yao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek