×

Ewe mwanangu! Shika Sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri 31:17 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Luqman ⮕ (31:17) ayat 17 in Swahili

31:17 Surah Luqman ayat 17 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 17 - لُقمَان - Page - Juz 21

﴿يَٰبُنَيَّ أَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ وَأۡمُرۡ بِٱلۡمَعۡرُوفِ وَٱنۡهَ عَنِ ٱلۡمُنكَرِ وَٱصۡبِرۡ عَلَىٰ مَآ أَصَابَكَۖ إِنَّ ذَٰلِكَ مِنۡ عَزۡمِ ٱلۡأُمُورِ ﴾
[لُقمَان: 17]

Ewe mwanangu! Shika Sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. Hayo ni katika mambo ya kuazimiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يابني أقم الصلاة وأمر بالمعروف وانه عن المنكر واصبر على ما أصابك, باللغة السواحيلية

﴿يابني أقم الصلاة وأمر بالمعروف وانه عن المنكر واصبر على ما أصابك﴾ [لُقمَان: 17]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Ewe mwanangu! Simamisha Swala kikamilifu kwa kutimiza nguzo zake, sharti zake na mambo ya lazima yake, na uamrishe mema na ukataze maovu, na ujue kwamba nyasia hizi ni miongoni mwa mambo Aliyoyaamrisha Mwenyezi Mungu ambayo inatakiwa kuyafanyia pupa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek