×

Hakukuwa kuumbwa kwenu, wala kufufuliwa kwenu ila ni kama nafsi moja tu. 31:28 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Luqman ⮕ (31:28) ayat 28 in Swahili

31:28 Surah Luqman ayat 28 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 28 - لُقمَان - Page - Juz 21

﴿مَّا خَلۡقُكُمۡ وَلَا بَعۡثُكُمۡ إِلَّا كَنَفۡسٖ وَٰحِدَةٍۚ إِنَّ ٱللَّهَ سَمِيعُۢ بَصِيرٌ ﴾
[لُقمَان: 28]

Hakukuwa kuumbwa kwenu, wala kufufuliwa kwenu ila ni kama nafsi moja tu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia Mwenye kuona

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما خلقكم ولا بعثكم إلا كنفس واحدة إن الله سميع بصير, باللغة السواحيلية

﴿ما خلقكم ولا بعثكم إلا كنفس واحدة إن الله سميع بصير﴾ [لُقمَان: 28]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakukuwa kuwaumba nyinyi, enyi watu, na kuwafufua Siku ya Kiyama, vile ilivyo nyepesi na rahisi, isipokuwa ni kama kuumba nafsi moja na kuifufua. Hakika Mwenyezi Mungu Anayasikia maneno yenu, Anayaona matendo yenu, na Atawalipa kwa hayo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek