Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 9 - لُقمَان - Page - Juz 21
﴿خَٰلِدِينَ فِيهَاۖ وَعۡدَ ٱللَّهِ حَقّٗاۚ وَهُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[لُقمَان: 9]
﴿خالدين فيها وعد الله حقا وهو العزيز الحكيم﴾ [لُقمَان: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uhai wao katika mabustani hayo ya Peponi ni uhai wa milele, haukatiki wala haumaliziki, Mwenyezi Mungu Amewaahidi hilo ahadi ya kweli. Na Yeye , kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, Haendi kinyume na ahadi Yake. Na Yeye ni Mshindi katika amri Yake, ni Mwenye hekima katika uendeshaji mambo Wake |