Quran with Swahili translation - Surah Luqman ayat 8 - لُقمَان - Page - Juz 21
﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ جَنَّٰتُ ٱلنَّعِيمِ ﴾
[لُقمَان: 8]
﴿إن الذين آمنوا وعملوا الصالحات لهم جنات النعيم﴾ [لُقمَان: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika wale waliomuamini mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakatenda mema waliyoamrishwa, hao wana starehe ya daima ndani ya mabustani ya Peponi |