×

Hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye fafanua baina yao Siku ya Kiyama 32:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-Sajdah ⮕ (32:25) ayat 25 in Swahili

32:25 Surah As-Sajdah ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 25 - السَّجدة - Page - Juz 21

﴿إِنَّ رَبَّكَ هُوَ يَفۡصِلُ بَيۡنَهُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ فِيمَا كَانُواْ فِيهِ يَخۡتَلِفُونَ ﴾
[السَّجدة: 25]

Hakika Mola wako Mlezi ndiye atakaye fafanua baina yao Siku ya Kiyama katika waliyo kuwa wakikhitalifiana

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن ربك هو يفصل بينهم يوم القيامة فيما كانوا فيه يختلفون, باللغة السواحيلية

﴿إن ربك هو يفصل بينهم يوم القيامة فيما كانوا فيه يختلفون﴾ [السَّجدة: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika Mola wako, ewe Mtume, Atatoa uamuzi baina ya Waumini na makafiri miongoni mwa Wana wa Isrāīl na wasiokuwa wao Siku ya Kiyama kwa uadilifu katika yale waliotafautiana juu yake miongoni mwa mambo ya dini, na Atamlipa kila binadamu kwa matendo yake kwa kuwatia watu wa Peponi Peponi na watu wa Motoni Motoni
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek