Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 28 - السَّجدة - Page - Juz 21
﴿وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡفَتۡحُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ﴾
[السَّجدة: 28]
﴿ويقولون متى هذا الفتح إن كنتم صادقين﴾ [السَّجدة: 28]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawa washirikina wanaifanyia haraka adhabu, wanasema, «Ni lini hukumu hii ya kutuadhibu, kama mnavyodai, ambayo itaamua baina yetu na nyinyi, iwapo nyinyi ni wakweli katika madai yenu?» |