×

Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayo onekana. Mwenye nguvu, Mwenye 32:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-Sajdah ⮕ (32:6) ayat 6 in Swahili

32:6 Surah As-Sajdah ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-Sajdah ayat 6 - السَّجدة - Page - Juz 21

﴿ذَٰلِكَ عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلۡعَزِيزُ ٱلرَّحِيمُ ﴾
[السَّجدة: 6]

Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayo onekana. Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ذلك عالم الغيب والشهادة العزيز الرحيم, باللغة السواحيلية

﴿ذلك عالم الغيب والشهادة العزيز الرحيم﴾ [السَّجدة: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Huyo Muumbaji Mwenye kuendesha mambo ya viumbe ni Mjuzi wa kila kinachofichamana na macho, miongoni mwa mambo yanayohifadhiwa na vifua na kufichwa na nafsi, na ni Mjuzi wa vitu vinavyoonekana na macho, na Yeye Ndiye Mwenye nguvu, Ndiye Mwenye kushinda Asiyeshindwa, Ndiye Mwenye kuwarehemu waja Wake Waumini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek