×

Ewe Nabii! Mche Mwenyezi Mungu wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki. Hakika Mwenyezi 33:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Ahzab ⮕ (33:1) ayat 1 in Swahili

33:1 Surah Al-Ahzab ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Ahzab ayat 1 - الأحزَاب - Page - Juz 21

﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِيُّ ٱتَّقِ ٱللَّهَ وَلَا تُطِعِ ٱلۡكَٰفِرِينَ وَٱلۡمُنَٰفِقِينَۚ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمٗا ﴾
[الأحزَاب: 1]

Ewe Nabii! Mche Mwenyezi Mungu wala usiwat'ii makafiri na wanaafiki. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياأيها النبي اتق الله ولا تطع الكافرين والمنافقين إن الله كان عليما, باللغة السواحيلية

﴿ياأيها النبي اتق الله ولا تطع الكافرين والمنافقين إن الله كان عليما﴾ [الأحزَاب: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ewe Nabii! Endelea daima kwenye kumcha Mwenyezi Mungu kwa kuyafanya maamrisho Yake na kujiepusha na makatazo Yake, na waumini wakufuate kwa kuwa wao wanahitajia hilo zaidi kuliko wewe, na usiwatii makafiri na watu wa unafiki. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu, ni Mwenye hekima katika uumbaji Wake, amri Zake na uendeshaji mambo Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek